Mkataba wa Huduma

  1. Nyumbani
  2. /
  3. Mkataba wa Huduma

ORPP inakuhakikishia kukuhudumia kulingana na maadili yetu ya msingi. Tumejitolea kutii kanuni za vipengee 10(2) & 232 vya Katiba ya Kenya, 2010, na sheria zinazotumika katika huduma zetu.

Scroll to Top