Ofisi za ORPP

  1. Nyumbani
  2. /
  3. Ofisi

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa imeanzisha ofisi kumi na mbili(12) za mikoa/kaunti ili kugatua shughuli zake kote nchini. ORPP inahakikisha ufikiaji unaofaa kwa huduma zake katika sehemu zote za jamhuri kwa nia ya ugatuzi na ufikiaji wa huduma, kama ilivyoelezwa katika sura ya pili ya Katiba ya Kenya.

Ofisi za mikoa/kaunti husaidia afisi kutekeleza majukumu yake katika kaunti kwa ufanisi zaidi. Majukumu hayo ni pamoja na ufuatiliaji wa usajili, utekelezaji, na uzingatiaji wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

ORPP Offices

Scroll to Top